Mimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo haya tafadhali KWA unyenyekevu mkubwa naombeni ushauri. Pamoja ya kuwa ni mwajiriwa pia najushughulisha na
1. Mazao ya Biashara (stoo)
2. Biashara ya Duka la Dawa
3.sometimes na Biashara ya Duka la kawaida.
Wapi patanifaa zaidi Kati ya KAHAMA MC, MPANDA MC, NZEGA TC
1. Mazao ya Biashara (stoo)
2. Biashara ya Duka la Dawa
3.sometimes na Biashara ya Duka la kawaida.
Wapi patanifaa zaidi Kati ya KAHAMA MC, MPANDA MC, NZEGA TC