Elezea zaidi target yakoMimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo haya tafadhali KWA unyenyekevu mkubwa naombeni ushauri. Pamoja ya kuwa ni mwajiriwa pia najushughulisha na
1. Mazao ya Biashara (stoo)
2. Biashara ya Duka la Dawa
3.sometimes na Biashara ya Duka la kawaida.
Wapi patanifaa zaidi Kati ya KAHAMA MC, MPANDA MC, NZEGA TC
Kwa biashara hizo nenda NzegaMimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo haya tafadhali KWA unyenyekevu mkubwa naombeni ushauri. Pamoja ya kuwa ni mwajiriwa pia najushughulisha na
1. Mazao ya Biashara (stoo)
2. Biashara ya Duka la Dawa
3.sometimes na Biashara ya Duka la kawaida.
Wapi patanifaa zaidi Kati ya KAHAMA MC, MPANDA MC, NZEGA TC
Ahsante Kwa ushauri wakoMpanda, labda ukakusanye mahindi na mipunga huko kakese na Tanganyika
Target zaidi natamani Biashara ya mazao na Biashara ya za mishe mishe yenye Mzunguko wa pesa, sehemu yenye GHARAMA ndogo ya maishaElezea zaidi target yako
Usijali kabisa nitakutafuta kwa taarifa zaidiMpanda patakufaa kama ni mazao nenda maeneo ya mnyagala,kuna senta inaitwa senta mesha kusanya mpunga na mahindi unaketa Kona mnyagala kuna stoo na mashine za kukoboa nyingi alafu ni barabarani kutoka ziwani karema na ikola kuja mpanda hivyo ikifika masika huna wasiwasi kusafirisha mzigo wako popote upendapo.swali lolote kuhusu katavi nzima niulize upate ramani ya huko
Kipindi gani kinakua cha mavuno ambapo mazao yanakua bei nzuri uko?Mpanda patakufaa kama ni mazao nenda maeneo ya mnyagala,kuna senta inaitwa senta mesha kusanya mpunga na mahindi unaketa Kona mnyagala kuna stoo na mashine za kukoboa nyingi alafu ni barabarani kutoka ziwani karema na ikola kuja mpanda hivyo ikifika masika huna wasiwasi kusafirisha mzigo wako popote upendapo.swali lolote kuhusu katavi nzima niulize upate ramani ya huko
Hapo mpanda mjini vyumba vya kupanga ni bei gan?Mpanda patakufaa kama ni mazao nenda maeneo ya mnyagala,kuna senta inaitwa senta mesha kusanya mpunga na mahindi unaketa Kona mnyagala kuna stoo na mashine za kukoboa nyingi alafu ni barabarani kutoka ziwani karema na ikola kuja mpanda hivyo ikifika masika huna wasiwasi kusafirisha mzigo wako popote upendapo.swali lolote kuhusu katavi nzima niulize upate ramani ya huko