Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo!!!!Nimekuwa nikisikia kwa watu tofauti kwamba kati ya mapacha lazima kuna moja ana mapungufu(hawawezi wakawa sawa wote),sina uhakika wa hii ila nimesikia tu.
Je kuna ukweli wowote?