PathwayzZote
Member
- Jul 4, 2024
- 65
- 85
Ok wana jamvi twende kazi
KATI YA MAREKANI NA CHINA
Naona hapa nchi zote hizo zina moto yani 🔥🔥🔥
Haya wataalamu wa uchumi na kujitafuta na pia wale waliofika au wanaishi katika izo nchi tajwa apo juu
Mtuchane ukweli
Ni nchi gani hapo kwa wale wanaopenda au wanaopata michongo ya kwenda kujitafuta kiamokoto katika nchi hizo
Itakuwa inasapoti sana kupata opportunities
Inshort unamshauri kijana aende wapi akafate fursa za pesa au dola au faranga au hela au shilling