Kati ya Mayele na Kagere nani bora?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kati ya Mayele na Kagere Una fikiri nani anatisha zaidi?

For me Mayele cause hata asipo funga anaweza kukuzuru pia to get Red card. yellow card or and penalty. Ni msumbufu sana kumchunga inahitaji akili saana kitu ambacho sikihonagi kwa Kagere.

Ayo ni maoni yangu Unaweza towa ya kwako pia Bila kutukana.

 
Ukitumia takwimu za ligi yetu Kagere ni bora kumpita huyu mkongo. Moja, Kagere kawa mfungaji bora katika ligi yetu kwa season mbili,pia ameweza kuscore 10 plus goals misimu mitatu kitu ambacho haijafahamika kama mkongo ataweza

Mwisho kabisa Kagere ana goals nne mpaka sasa wakati huyu mkongo ndo kwanza anajitafuta katika ligi. Anyway,Kagere is the best striker of all time in TPL,VPL and NPL.
 
Kumbuka Mayele ni mgeni wa Ligi, hana hata mechi 10
 
Kinacho mpa credit kubwa striker Ni takwimu zake
Katika ligi kuu NBC

Mayele=anamagoli 3
MK14=anamagoli 4

Hivyo aliyebora Ni mwenye takwimu za juu kumshinda Mwenzake
 
Ushabiki wetu kwa Simba na Yanga wakati mwingine unatupofusha na kutufanya kila kitu tuamue kwa msukumo wa ushabiki wetu.

Hao wachezaji ligi bado changa sana hatuwez sema nani bora
 
kukuzuru... KUKUDHURU.
ina itaji....INAHITAJI.
sikihonagi.... SIKIONAGI.
Ayo.....HAYO.
Saana.... SANA.

Kagere ni bora kuliko Mayele.
 
Una mihemko ndugu. Kagere anameshazoea ligi yetu.
Mayele ni msimu wake wa kwanza.
Anzia hapa kuwalinganisha

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka Mayele ni mgeni wa Ligi, hana hata mechi 10
Sasa mkilijua hilo mnaanzaje kumfananisha na mtu ambae amekuwa mfungaji bora kwa misimu miwili ndani ya misimu mitatu! Tatizo la mashabiki wa yanga siku zote ni kujilinganisha na simba kwa jambo lolote na hata ndoto zao msimu mzima wao wanafikria kumfunga simba tu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…