napingana nawe mkuu. hata yeye huwa anaanzisha ila hujajua namna anavyoanzisha! hii inawamisslead wanaume wengi sana wakafikia kudhani kuwa bila wao mapenzi hakuna au tendo la ndoa halifanyiki. hii ni fallacy, wanawake wana namana na mbinu nyingi tu kuanzisha sasa kama mwanaume tena uliye kwenye ndoa yakupasa umsome na kumjua mwenzio.
mfano unapopanda tu kitandani, yeye anageuka au anasogea kando upande wake. na wewe tayari ukishaona maeneo yanayokutia hamasa tayari unataka kugusa na then mchezo unaanza. hapo usijitape kwamba umeanzisha wewe,aliyeanzisha ni mke na hata kulala sehemu yako alilala makusudi ili ukifika akuite kwa kujibinua! au yaweza kuwa tangu mapema anakutazama tazama kukuchokoza ili kukutia hamasa na ikifika jioni anajifanya kuwahi kulala, na wewe kwa "hasiira" za tangu mchana unashindwa kuvumilia hadi asubuhi, ukimgusa tu yuko prepared! nawe hujiulizi nani kamuandaa, alijiandaa mwenyewe ndio akaanzisha. this is too psychological. jitahidini kuwasoma wake zenu na mtagundua wanaanzisha mara nyingi sana huo mchezo.
mie nina uwezo wa kutamka hata kwa maneno nataka nini manake ni saikolojia ndio huwa inataka na ukishajiandaa kisaikolojia unaweza tamka au kufanya lolote. na tena wanawake wengi tu huwatamkia wenzi wao