nimekuwa nauliza baadhi ya maswala hapa nahitaji kujua.sasa ninapata shida kujua katika ndoa ni nani kati ya mme na mke anapaswa kuanzisha mchezo.kwani mara zote nikianzisha tunacheza hadi mechi inaisha kwa furaha.ila siku nisipoanzisha,mwenzagu hukaa kimya.utata ni kuwa siku nyingine nakuwa nataka ila sijui kama yeye anataka pia,nasubiri aanzishe,wapi! nisipoanzisha hata wiki inapita.ila nikianzisha hata kila siku tunafanya vizuri.sasa nachanganyikiwa.mimi mhaya na mwenzangu mchaga kama hilo laweza kuwasaidia wachangiaji.asante

Uzuri ni kwamba umeshamjua mwenzio kwamba hata siku moja hataanzisha game hata week au zaidi ikikatika, lakini kila unapoomba mechi za kirafiki basi mwenzio hushiriki katika mechi hizo hadi unasuuzika roho yako. Kwa hiyo wewe kila unaposikia kucheza mechi basi usisite na kumsubiri mwenzio aombe game WE ANZISHA TU! maana unajua fika kwamba participation yake itakuwa 110%
Right Thru Me (Clean Version) - Nicki Minaj | Music Video | VEVO
soma history ya haya makabilanimekuwa nauliza baadhi ya maswala hapa nahitaji kujua.sasa ninapata shida kujua katika ndoa ni nani kati ya mme na mke anapaswa kuanzisha mchezo.kwani mara zote nikianzisha tunacheza hadi mechi inaisha kwa furaha.ila siku nisipoanzisha,mwenzagu hukaa kimya.utata ni kuwa siku nyingine nakuwa nataka ila sijui kama yeye anataka pia,nasubiri aanzishe,wapi! nisipoanzisha hata wiki inapita.ila nikianzisha hata kila siku tunafanya vizuri.sasa nachanganyikiwa.mimi mhaya na mwenzangu mchaga kama hilo laweza kuwasaidia wachangiaji.asante
kwani akianzisha sana deme inaashiria nini?Kwa asili tendo la ndoa per se sio priority ya mwanamke katika mahusiano......and so ukiona yeye ndio anaanzisha mara kwa mara kuliko mwanaume....inabidi ujiulize mara mbili mbili!
napingana nawe mkuu. hata yeye huwa anaanzisha ila hujajua namna anavyoanzisha! hii inawamisslead wanaume wengi sana wakafikia kudhani kuwa bila wao mapenzi hakuna au tendo la ndoa halifanyiki. hii ni fallacy, wanawake wana namana na mbinu nyingi tu kuanzisha sasa kama mwanaume tena uliye kwenye ndoa yakupasa umsome na kumjua mwenzio.
mfano unapopanda tu kitandani, yeye anageuka au anasogea kando upande wake. na wewe tayari ukishaona maeneo yanayokutia hamasa tayari unataka kugusa na then mchezo unaanza. hapo usijitape kwamba umeanzisha wewe,aliyeanzisha ni mke na hata kulala sehemu yako alilala makusudi ili ukifika akuite kwa kujibinua! au yaweza kuwa tangu mapema anakutazama tazama kukuchokoza ili kukutia hamasa na ikifika jioni anajifanya kuwahi kulala, na wewe kwa "hasiira" za tangu mchana unashindwa kuvumilia hadi asubuhi, ukimgusa tu yuko prepared! nawe hujiulizi nani kamuandaa, alijiandaa mwenyewe ndio akaanzisha. this is too psychological. jitahidini kuwasoma wake zenu na mtagundua wanaanzisha mara nyingi sana huo mchezo.
mie nina uwezo wa kutamka hata kwa maneno nataka nini manake ni saikolojia ndio huwa inataka na ukishajiandaa kisaikolojia unaweza tamka au kufanya lolote. na tena wanawake wengi tu huwatamkia wenzi wao
Hiyo ni kweli Afrodance, huyo ni mkeo mweleze ukweli wa moyo wako, hiyo itaweka kachumbali ndani ya mboga. Siku njema!!!!!!!!!ooohh my dear friend
huu ndo mchezo tu mmoja duniani
ambao hauna referee ..
mpira uko katikati..
anayetaka akachukue..
na mwenzako akianza kukurushia pasi na we mrudishie kwani hii tag team..
unajua utamu wa mapenzi ni kuongelea..
mmhh mkumbatie bibie, mbusu, mwangalie kwa jicho
la mahaba halafu mwambie au mweleze kilicho moyoni..
maana hapo juu umesema ni mkeo..
sasa kama mmeoana hamna haja ya kumficha..
maana weye na ye ni kitu kimoja sasa..
kwani akianzisha sana deme inaashiria nini?
Mhhh. Ngoja tusikie upande mwingineAnyetaka "KUINGIA" kwa mwenzie ndiye anayeanza. Sijui kama kinyume chake kinawezekana yaani kutaka "KUINGIWA" na mwenzio.
umenena vemanapingana nawe mkuu. hata yeye huwa anaanzisha ila hujajua namna anavyoanzisha! hii inawamisslead wanaume wengi sana wakafikia kudhani kuwa bila wao mapenzi hakuna au tendo la ndoa halifanyiki. hii ni fallacy, wanawake wana namana na mbinu nyingi tu kuanzisha sasa kama mwanaume tena uliye kwenye ndoa yakupasa umsome na kumjua mwenzio.