Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo anachomzidi messi ni kujiremba na kupakatwa kule morocoKwenye takwimu nyingi zinazo husisha soka CR7 amemshinda vibaya Mess. Mess anacho mzidi CR7 ni ufupi tu. Takwimu hazijawahi kudanganya.
Kajamaa kalipakatwa utamu. Waarabu si watu wazuri. Yani kajamaa kalipanda ndege yake binafsi kuufuata mshedede...Ronaldo anachomzidi messi ni kujiremba na kupakatwa kule moroco
Wapi alipompita ?
Nazunguzia strength, stamina, dribbling skills, shoot ,Ball control kwa ujumla ukilinganisha nani anaweza kuwa bora naomba tutaje asilimia kwa kutumia reference ya sofifa 2021 kwenye google