Kati ya Messi na Ronaldo nani ana Overall kubwa kwenye FIFA ya mwaka 2021

Hapa kila shabiki atavutia upande wake.
 
Kwenye takwimu nyingi zinazo husisha soka CR7 amemshinda vibaya Mess. Mess anacho mzidi CR7 ni ufupi tu. Takwimu hazijawahi kudanganya.
Ronaldo anachomzidi messi ni kujiremba na kupakatwa kule moroco
 
Ronaldo anachomzidi messi ni kujiremba na kupakatwa kule moroco
Kajamaa kalipakatwa utamu. Waarabu si watu wazuri. Yani kajamaa kalipanda ndege yake binafsi kuufuata mshedede...
 
Nazunguzia strength, stamina, dribbling skills, shoot ,Ball control kwa ujumla ukilinganisha nani anaweza kuwa bora naomba tutaje asilimia kwa kutumia reference ya sofifa 2021 kwenye google


Mzee wa vyenga na burudani kwa ujumla utamlinganishaje na mtengewaji na mapenati!!!!

Unatakiwa ujue possession wanazocheza, Messi anacheza kotekote kwanzia nyuma kupanda mbele anakusanya kijiji na kuondokanacho , wakat ronaldo hiyo shuguli haiwezi anasubiri kutengewa afunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…