Kati ya mipesa na vyeti utachagua nini

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
habarini wapendwa ..natumaini mu wazima wote.
Siku itakapotokea serikali ya Marekani ikakupa bilioni 15 za fedha ,halafu wakakuambia chagua;
1. Uwape kwanza vyeti vyako vyote kuanzia shule ya msingi hadi chuo wavichome moto
2. Utoke nchini Tz na usirudi kamwe

Mimi binafsi ningebaki na vyeti vyangu[emoji4] [emoji41]
Wewe ungechagua nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitawapa wavichome moto
Maana kuvipata tena ni rahisi sana kutoka NECTA,Chuo husika..
 
Lakini ubongo upo sawa na material sawa. Choma vyeti nitumie ubongo uliojaa mali ghafi niizalishe hiyo bilioni 15 chapchap maisha yanasonga. Ujue kwamba naongea kisomi, natembea kisomi, naishi kisomi ila tu vyeti vilichomwa moto. Elimu ni ufunguo wa maisha, funguo ninazo vyeti vimechomwa moto. Potelea mbali mzungu choma vyeti nipe 15 b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji13] [emoji13] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji13] mkuu kwa kweli!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta pesa iyo ,madini yapo kichwani makaratasi dhamana tu

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…