Kati ya mkoa wa manyara na singida mkoa upi unafaa zaidii kwa kilimo cha alizeti katika miaka hii

Badru26

Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
47
Reaction score
17
Naomba mnijuzee wapi kuna mvua ya kutosha na ardhi nzuri yenye rutuba hususani kwa kilimo cha alizetii pia bei za mashamba na gharama nyingine katika hio mikoa
Pia upatikanaji na gharama za mbegu bora ya alizeti pamoja na mbolea
 
Jaribu manyara,ukiweza kukodi ekari 10 na ukasimamia vizuri natumaini utavuna vizuri.
 
Manyara kuko fresh mkuu,Mimi mwenyewe niko Manyara alizeti inafanya vyema.
Kuhusu mbegu kuna mbegu mbali mbali mkuu kuna ya Tsh 40,000/ kwa kg moja na inasambazwa na BYTRADE.
 
Ndugu tuwasiliane nnashida na wewe. +255657273095. Whtsp

Back
Top Bottom