Mpangaji mwenzangu alilipa kodi ya miezi sita, kumbe pale kuna mauzauza kibao yani uchawi. Suspect ni mwenye nyumba madharau, matusi kibao na vijana wake baada ya huyo mpangaji kuyasema bayana wakataka kumrudishia kodi ya miezi 3 iliyobaki kwa kukata pesa za umeme na maji ili aondoke.
Anayevunja mkataba ni mwenyenyumba?
Nimeshindwa nimsaidiaje please tupe njia maana hata yeye sheria hajui.
Anayevunja mkataba ni mwenyenyumba?
Nimeshindwa nimsaidiaje please tupe njia maana hata yeye sheria hajui.