Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakataa mkuu wakati ukiwa tumboni kwa mama yako kila mmoja alikua na tumbo lakeMama yako hawezi kubeba mimba yako ila mkeo, mama ako anabeba tumbo lako.
Kwa kuwa umeamua, sawa.Nakataa mkuu wakati ukiwa tumboni kwa mama yako kila mmoja alikua na tumbo lake
Wote wamebeba mimba yangu ila kwa namna tofauti
Mama: Alibeba mimba yangu
Mke:Alinibebea mimba yangu
OVA
Hapo sawa.Wote wamebeba mimba yangu ila kwa namna tofauti
Mama: Alibeba mimba yangu
Mke:Alinibebea mimba yangu
OVA