Kati ya Mwanamke/Mwanamme nani anaeongoza kutamani kuoa/kuolewa?

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Khabarini wana jamvi nimatumaini yangu ya dhati kuwa mu wazima wa afya tele na kwa wale wanajickia mafua,maralia,uchovu wa hang'over poleni sana.Jamani nakua kama nachungulia humu jamvini hii ni kwa7bu sasa khali ya umeme inaleta ma2maini japo c sana hvyo kupelekea kazi yangu ya kinyozi kunibana sana nakula vichwa kufidia ile adha ya miez3 iliyopita.

Ok ningependa kujua kati ya makundi hayo mawili ni kundi gani linatamani sana kuoa/kuolewa?na ni 7bu zipi?
Ngoja nilambe kichwa naludi ok members karibuni.
 
Kila mtu kwa nafasi yake anatamani kufanya hivyo. sema hamu ya mwanamke inaonekana kubwa sababu wao wanasubiri kuambiwa na mwanamme "will you mary me" la sivyo ngoma drooo
 
Kila mtu kwa nafasi yake anatamani kufanya hivyo. sema hamu ya mwanamke inaonekana kubwa sababu wao wanasubiri kuambiwa na mwanamme "will you mary me" la sivyo ngoma drooo
Gaga kama cjakupata vizuri,una maana mwanamke yeye anatamani zaidi ndoa naweza kusema coz wanaume weng wao ni waharibufu! Ila hapo kwenye ngoma droo cjakupata.
 
jibu ni rahisi sana, wote wanatamani ndio maana kuoa/kuolewa kuna wahusisha wote wawili...................tofauti ni kuwa wanawake wanawahi kuolewa wakati wanaume wanachelewa kuoa........
 
I guess wanawake maana ndo hua desperate sana!Baadhi wakifikisha thelathini tu wanaanza kuhaha na ndo maana wengine wako tayari kuolewa na yeyote ili mradi ndoa!
 
Reactions: BAK
I guess wanawake maana ndo hua desperate sana!Baadhi wakifikisha thelathini tu wanaanza kuhaha na ndo maana wengine wako tayari kuolewa na yeyote ili mradi ndoa!
Lizzy umenipa jibu la uhakika ngoja 2subli wengne wanasemaje kuhusu hl
 
mwanamke zaidi,kwani umri unachangia.na mtu unapenda uwe na wako mmoja tu,awe mume wako na sio kuhangaika.m.me unaweza ukaoa age yoyote ile
 
Mwanamke anapenda kuolewa ili atulie na mumewe na ajenge heshima kwenye jamii
 
They are the same. Marriage brings one's respect in the society. Nafikiri mkishakua wachumba kifuatacho ni ndoa. Na kwa kuwa mlikua kwenye mahusiano ambayo ni "two way traffic", so kuona hapa ni haja ya kila mtu, hakuna anaemzidi mwenzake.
 
mwanamke zaidi,kwani umri unachangia.na mtu unapenda uwe na wako mmoja tu,awe mume wako na sio kuhangaika.m.me unaweza ukaoa age yoyote ile
Good idear kisukar,
 
Wanaume wengi wanaogopa kuoa sababu ya life kuwa tite,ila kwa mwanamke anaona hata kama mambo yatakuwa magumu yeye cio lzm kuhusika.
Hvy wanawake ni zaidi klk ma men.
Then kumbuka mwanaume hazeeki!
 
wote wanatamani hivyo.

Mwanaume anaoa wakati wowote, akijiona yuko tayari ana mwenza wanaeaminiana,, aki mpenda demu anaamua kuoa,,,but kwa dada zetu hata kama anatamani kuolewa she has no decision sasa naoelewa though anatamani may be
 
Wanaume wengi wanaogopa kuoa sababu ya life kuwa tite,ila kwa mwanamke anaona hata kama mambo yatakuwa magumu yeye cio lzm kuhusika.
Hvy wanawake ni zaidi klk ma men.
Then kumbuka mwanaume hazeeki!
Wanaume dume la nyani bwana ila wanaogopa umande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…