Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaidi!!

Bongemzito

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
162
Reaction score
19
Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid
 
Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid
Wewe ni bonge mzito....!, halafu haya mambo huyajui? Kila mmoja anapaswa kumpenda mwenzie sawasawa na jinsi naye anavyopendwa...! Lakini ogopa kupenda bila kupendwa....!
 
hahahahah ni mgeni kwani?nini ambacho hujaelewa apo f

Nashukuru sana kwa kunisaidia kumjibu maana kuna watu wanatubagua sana sisi wageni kwenye hili jukwaa...haipendezi.
 
Ningependa kujua Kati ya Mwanamke na Mwanamme nani humpenda mwenzie zaid

Kama moyo wa mtu mmoja umemwangukia vilivyo mwengine basi wote tuna upendo sawa. Hujapenda wewe ndiyo maana unauliza swali hili
 
dada zetu siku zote ndio hupenda zaidi sisi vidume ni wazee wa ku hit and then run away...................................
 
Itategemea, inawezekana mwanaume akampenda zaidi mwanamke au mwanamke akapenda zaidi mwanaume.
Yote kwa yote upendo hauwezi kulingana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…