Mimi ningetamani niwe na jinsia zote mbili (jike dume)
Haita tokea hata siku moja mwanaume atamani kuwa mwanamke, hao mashoga si tunawaweka kwenye kundi lenu...we huoni hata tabia zao ziko kama zenu :bounce:Sijui kuwa mwanaume hivyo kwanini nitamani?
Mimi naona kwa idadi ya mashoga inavyoongezeka kila siku, nafikiri wanaume wanatamani kuwa wanawake japo kmoyo moyo.
Hereni masikioni, G'string (nenda JF photos utapata ushahidi), magauni (kanzu) na kadhalika mbili!
Haita tokea hata siku moja mwanaume atamani kuwa mwanamke, hao mashoga si tunawaweka kwenye kundi lenu...we huoni hata tabia zao ziko kama zenu :bounce:
gfsonwin mwanaume ni mwanaume tu, na shoga ni shoga tu :bounce:sasa fazaa kwani mwanaume anakuwa defined vipi na mwanamke je?
nijuavyo mimi mwanaume anakuwa defined kwa kuwa na uume na mwanamke kwa kuwa na uke. sasa kama shoga anatabia za kike haimaanish kwamba ni mwanamke hata kidogo bado huyu ni mwanaume ila tofauti ni kwamba anatuonea siye wanawake donge ndio maana anajibadilisha ili afaidi kama sisi akasahau kwamba hana mashavu wala kisimi kama siye.
@ Point 3 ndo mana lazima tuwaheshimu mama zetu na wake zetu 😛oaWanaume ndio wataongoza kukataa jinsia yao kwa sababu zifuatazo.
- Mila na desturi zimeweka mazingira ya mwanaume ni lazima ajitume na awajibike ipasavo katika jamii na ndani ya familia yake. Hili kwa wanaume wavivu na lege lege ni mtihani kwa kweli, nahisi wengi wao hutamani bora wangezaliwa wanawake; Hivo nam support Kaunga hapo juu.
- Tokana na maadili kubadilika na kitendo cha kuingiliwa kinyume cha maumbile kukua, inafanya idadi ya wanaogeuzwa na wanaume wenzao kuongezeka. Hilo linafanya wengi wa wanaoingiliwa kujifanya wanawake hasa kwa kuji visha na kujipamba na mavazi ya kike.
- Wanawake we have it all... Mwenyezi Mungu katujalia nguvu ya ajabu na pia katupendelea kwa kutupatia wajibu wa kubeba viumbe (kike kwa kiume) kwa miezi 9 tumboni na kisha kuzaa... Hio ni moja ya sababu; tamaa ya kufikiria kuwa apitie na kuona namna gani inakuwa ukiwa mwanamke.
- Diversity... Kuna vitu wanawake tunaweza kufanya ambavo wanaume hawawezi.... Whereas kwa wanawake kwa kiasi kikubwa tunaweza kufanya yale ambayo wanaume wanafanya....
Kwa mtazamo wangu hizo ni baadhi ya sababu.
Haita tokea hata siku moja mwanaume atamani kuwa mwanamke, hao mashoga si tunawaweka kwenye kundi lenu...we huoni hata tabia zao ziko kama zenu :bounce:
Cowabunga :biggrin:Tena nilisahau, mnapendezaga mkisuka nywele!