kityentyee
Member
- Mar 9, 2021
- 72
- 340
Mahusiano yanauma sana kama ukiwa ulimpenda na kumuamini mwenzio sana! Thus why tunashauriwa tusiwatumainie wanadamu wenzetu ila ndio hivyo penzi lina uraibu sana mpenzi!Mahusiano yakivunjika lazima mmoja apitie hayo. Hamuwezi kuwa sawa labda kaa wote mlikua mnaibiana
Mwenye Kupenda Haoni Chongo,Ataita Kengeza. 😆😁😀😂😃💘Mahusiano yanauma sana kama ukiwa ulimpenda na kumuamini mwenzio sana! Thus why tunashauriwa tusiwatumainie wanadamu wenzetu ila ndio hivyo penzi lina uraibu sana mpenz!
Unaweza sema hutapenda tena ila akatokea mtu akakupa amani ukajiskia comfortable utajikuta umependa tena tu bila kujielewa!
All in all katika mapenzi mizani hailingani kuna mmoja atakuwa anampenda sana mwenzie ila mwengine upendo ni asilimia ndogo! Mwenye kupenda zaidi ndiye atakaeumia in the event ya uhusiano kuvunjika!
Uko sahihi mpenzi.Mahusiano yanauma sana kama ukiwa ulimpenda na kumuamini mwenzio sana! Thus why tunashauriwa tusiwatumainie wanadamu wenzetu ila ndio hivyo penzi lina uraibu sana mpenz!
Unaweza sema hutapenda tena ila akatokea mtu akakupa amani ukajiskia comfortable utajikuta umependa tena tu bila kujielewa!
All in all katika mapenzi mizani hailingani kuna mmoja atakuwa anampenda sana mwenzie ila mwengine upendo ni asilimia ndogo! Mwenye kupenda zaidi ndiye atakaeumia in the event ya uhusiano kuvunjika!
1.Anayeumia zaidi ni yule aliyevunja mahusiano yaani aliyeacha kuliko aliyeachwa kwa sababu ya ile kanuni ya kuchanganya maji na mafuta ya taa.Salaamuni wakuu
Mahusiano yanapo vunjika either ya mke na mume au wapenzi tu wa kawaida walioshibana ikatokea sintofahamu baina yao hadi kupelekea kuachana je kati ya Me au Ke....
1: Nani huwa anaumia zaidi kuliko mwenzie?
2: Nani mwenye hasara zaidi kuliko mwenzie? (who is mostly at a loser side)
3: Nani huwa ana move on faster na kusahau ya nyuma kuliko mwenzie ?
4; Nani huwa na msimamo thabiti wa kuachana kuliko mwenzie ?
Umemaliza kila kitu hapa hii ni summary.Anayeumia zaidi ni yule aliyependa zaidi, anayemove on faster ni yule aliyependa kidogo au hakupenda kabisa. Anayepata hasara zaidi ni yule aliyependa zaidi na kuwekeza zaidi.