BaloziWaMitaa
Member
- Aug 14, 2017
- 13
- 36
Mkuu Kwani tatizo ni duduz tu au ni pamoja na vingine?,walau umeanza kunipa mwanga lakini.Wanawake dudu yao hata huwa haionekani wakisimama wima!
Bila shaka hata tukifikia hatua hiyo ya kukaa ,kushinda na kutembea uchi may be inaweza isiwe na tatizo saana,maana itakuwa kama tumerejea kwenye asili yetu.Mnyama peke yake ndiyo hukaa uchi na hakuna shida...
Ila binadamu awe wa kike au kiume ukiwa u.chi ni hatari...
Cc: mahondaw
Ongeza kanyama kiasi basi sijakuelewa. Eti unaonaga aibu vitu vikining'inia? Hehehehe 😀 Jf buana.Mwanamke ndo atapendeza....... Wanaume na vile vitu vinaning'inia [emoji23]........ Naonaga aibu hata nkimuangalia m'y man