GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
kama nick anamfahamu wema basi minaji ndiye alie iga lafudhi ya wema
ila kama ni kinyume chake basi jibu unalo.
Nick minaji sidhani kama anamfahamu wema.
Acha hata ile kumjua tu na kumsikia
ndio. Sana Sana. majirani zetu wamfahamu tu. Kama sisi baadhi tunavyomjua verasindika,hudamouren .Lakini huo majuu sijuiKwahiyo unataka kuniambia kuwa Wema Sepetu kumbe ' umaarufu ' wake unaishia tu ndani ya mipaka yetu ya ' Uswahilini ' na kwamba nje ya Tanzania na sana sana huko ' Majuu ' ni wa kawaida sana? Sasa zile ' Shobo ' zake zote huwa ni za nini Mkuu?
ndio. Sana Sana. majirani zetu wamfahamu tu. Kama sisi baadhi tunavyomjua verasindika,hudamouren .Lakini huo majuu sijui
hawana loloteKwahiyo kumbe yale ' Mashauzi ' yote huwa anaufanyia tu sisi ' wajinga wajinga ' tunaompapatikia na kumpaisha isivyo lakini ukweli ni kwamba She's nothing au?
Tumshauri amtafute Lissu wafungue kesi ya madai mahakama ya Kisutu dhidi ya Nick.Nick aache kumuiga wema sepetu wetu
Pita kwa uangalifu usitukanyage![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napita tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]Nick haifahamu Tanzania sembuse amfahamu Wema?..