Kati ya Nikki Mbishi na Stereo nani zaidi?

Kati ya Nikki Mbishi na Stereo nani zaidi?

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
Kwenye uandishi na kurap/flow, kati ya Nikki Mbishi na Stereo nani mkali zaidi?

Screenshot 2023-09-22 121431.png
Screenshot 2023-09-22 121632.png
 
Nikki yupo vizuri yupo serious na kazi, huyo stereo talent anayo sema tatizo ni mpiga puchuu
 
Nikki mbishi hakuna wa kumlinganisha naye pale tamaduni ....ni next level
 
Back
Top Bottom