Hapo ni magari mawili tofauti saaaana japo yanajndwa na kamouni moja..
Ni nafuu jata unvefananisha Nissan dualis na xtrail
Au Serena na Nissan elgrand
Kwa kifupi Nissa. Dualis itakuwa na consumption ndogo kuliko Serena kulingana na udogo wa body lake..
Serena itakuwa na consumption kubwa kwa sababu body lake kubwa zaidi...
Dualis ni nzuri zaidi kwa lami na rough road na kama una kafamia kadogo...
Serena ni nzuri kwenye lami, na kama unafamilia kubwa , mke, watoto, wakwe na mashemeji wote ukute wanakaa kwako..
Sent using
Jamii Forums mobile app