Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mwenye uelewa na magari hayo hapo juu atupe a,b c zake hasa ulaji wake wa mafuta pamoja na spare parts zake.
Natanguliza shukran Wakuu
Mkuu najua ni yofaut ila nilitaka jua zote 2 lkn nashukur umesaidia kidogoMbona umechanganya kiongozi
Nissan Dualis ni gari ya kifahari
Nissani Serena ni gari ya familia ilitakiwa Nissan Serena uifananishe na toyota noah
Kama ni ww chukua Nissan dualis ni nzuri japo baadhi ya spea zimechangamka kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sn mkuu kwa ufafanuz wako naamin kuna kitu tumejifunza,big up snHapo ni magari mawili tofauti saaaana japo yanajndwa na kamouni moja..
Ni nafuu jata unvefananisha Nissan dualis na xtrail
Au Serena na Nissan elgrand
Kwa kifupi Nissa. Dualis itakuwa na consumption ndogo kuliko Serena kulingana na udogo wa body lake..
Serena itakuwa na consumption kubwa kwa sababu body lake kubwa zaidi...
Dualis ni nzuri zaidi kwa lami na rough road na kama una kafamia kadogo...
Serena ni nzuri kwenye lami, na kama unafamilia kubwa , mke, watoto, wakwe na mashemeji wote ukute wanakaa kwako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
[/QUOTNdo habar ya mjin now
Nashukuru mzee mwenzangu wa ma-Nissan kutuwakilisha.Hapo ni magari mawili tofauti saaaana japo yanajndwa na kamouni moja..
Ni nafuu jata unvefananisha Nissan dualis na xtrail
Au Serena na Nissan elgrand
Kwa kifupi Nissa. Dualis itakuwa na consumption ndogo kuliko Serena kulingana na udogo wa body lake..
Serena itakuwa na consumption kubwa kwa sababu body lake kubwa zaidi...
Dualis ni nzuri zaidi kwa lami na rough road na kama una kafamia kadogo...
Serena ni nzuri kwenye lami, na kama unafamilia kubwa , mke, watoto, wakwe na mashemeji wote ukute wanakaa kwako..
Sent using Jamii Forums mobile app
'Nissan Dualis ni gari ya kifahari'.Mbona umechanganya kiongozi
Nissan Dualis ni gari ya kifahari
Nissani Serena ni gari ya familia ilitakiwa Nissan Serena uifananishe na toyota noah
Kama ni ww chukua Nissan dualis ni nzuri japo baadhi ya spea zimechangamka kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sn mkuuuNashukuru mzee mwenzangu wa ma-Nissan kutuwakilisha.
Mdau anaonekana yupo vizuri. Sasa zote cc zake ni sawa japo kwa ukubwa wa bodi plus weight inayoweza kubeba, serena yaweza kuwa juu kidogo fuel-wise. Spea zinapatikana japo huku ktk Nissan hatushangai bei za spea maana zipo juu kdg kuliko Toyota. Ila ukifunga, UMEFUNGA.
Hivyo basi Dualis the best kwa kuwa ni SUV safari popote hata off-road.
Kwa kuwa gari zote ni imara (usinunue scrapers) una uhakika zitadumu muda mrefu. Tofauti ni matumizi kwa maana idadi ya watu utakaobeba.
Karibu Nissan family where durability partners with comfort and stability.