Kati ya Paul Makonda na Richard Kasesera nani anaongoza kwa kuwa na usanii, sifa na mashauzi?

Kati ya Paul Makonda na Richard Kasesera nani anaongoza kwa kuwa na usanii, sifa na mashauzi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rejea tu kichwa cha ' uzi ' hapo juu na karibu ' utiririke ' Mkuu.
 
Richard kabisaaaaaaaaa anaongoza, huyo ni eeeeh

Makonda anapenda kuhudumia wananchi, ipo kwenye damu. Hata humu posts zake za miaka mingi iliyopita ilionyesha hivyo.
 
Richard kabisaaaaaaaaa anaongoza, huyo ni eeeeh

Makonda anapenda kuhudumia wananchi, ipo kwenye damu. Hata humu posts zake za miaka mingi iliyopita ilionyesha hivyo.
Makonda anakipaji kikubwa cha uongozi na utawala.ni mtu anaejiamini.na ukitaka kuangalia.tizama idadi kubwa ya mawe anayorushiwa.ujue yeye ni mti wenye matunda.
 
Wote ni hao hao, wajinga tu! (natumia neno wajinga, siyo wapumbavu)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Si mlisema Makonda asiandikwe kwenye chombo chochote ili kumfanya afifie asisike!!!
 
Makonda ni kiongozi Kasesera ni muuza sura kama hamorapa.!
 
Kasesera ni muuza sura, Bashite ni jambazi
 
Makonda jembe bana mchapakazi,Rais wa dar mtulivu.
 
Ifike wakati watu wawe wakuu wa mikoa hukohuko kwao walikozaliwa, maana ishakuwa ulofa.
 
mmh bora wa Iringa, huyu mwingine anatumia hadi nguvu za dola......khaaah!!!
 
Back
Top Bottom