Kati ya Paul na Peter wa P Square yupi anafanya vizuri kwa sasa?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu

Baada ya p square kuzinguana na kutengena (sina hakika kama wamerudi) kila mmojawapo akawa anatpa singo kivyake kama solo artist
Sasa basi kati yao yupi anafanya muziki mzuri na anaetamba kwa sasa

Binafsi namkubali sana yule mwenye rasta (Rude boy)
 
Unajua hawa wanaijeria, yule Davido angekuwa mrefu tusingepumua. Ni kafupi kama Harmonize. Halafu watu wafupi nishawatesa sana maisha haya. Nikiingia chocho yoyote lazima ning'oe demu wao wanasubiri mpaka waonewe huruma
 
mama yako mrefu au mfupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…