vipi mkuu ulichukua mashine ipi?Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.
Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina.
Naomba ushauri ipi nichukue kama una uzoefu au hata elimu kidogo kuhusu pikipiki.
Tuzingatie pia
Matumiz yake ya mafuta
Spare
Service na
Uimara wa chombo
Asante.
View attachment 2156319View attachment 2156321
Haojue kama ya kwenye picha hapo inacheza around bei ganWadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.
Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina.
Naomba ushauri ipi nichukue kama una uzoefu au hata elimu kidogo kuhusu pikipiki.
Tuzingatie pia
Matumiz yake ya mafuta
Spare
Service na
Uimara wa chombo
Asante.
View attachment 2156319View attachment 2156321
Milioni 3Haojue kama ya kwenye picha hapo inacheza around bei gan
Mkuu vp na bei ya hiyo tvs hapo kwenye picha ?Milioni 3