Kati ya Port of Mombasa na Dar Port gani inahandle cargo nyingi zaidi?

Kati ya Port of Mombasa na Dar Port gani inahandle cargo nyingi zaidi?

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Nauliza tu swali maanake nimeona vita humu watu wakijibizana sana. Hivi kati ya hizi Port mbili gani inahandle cargo nyingi zaidi?
 
hapa hawatakuja because this question only has fact as an answer not an opinion
 
Kenya ni nchi ya dunia ya kwanza, Tanzania ni nchi ya dunia ya tatu, kwanini mnaogopa kujilinganisha na mataifa ya hadhi zenu, mnakuja kutulinganisha na sisi huku?

Nyie jilinganisheni na Uingereza, Marekani, Ufaransa, Uholanzi nk.

Hata Afrika Kusini sio nchi ya hadhi yenu kimfanano. Yaani Kenya 🇰🇪 haikupaswa kabisa kuwepo Afrika.
 
Anzeni mapema kutafuta mahali mtalipia mkopo wa kipevu oil terminal sababu miaka mitatu mbele itakosa mteja mganda anajenga Refinery ya mafuta yake na sehemu ya DRC

Mombasa itapigwa mnada na mchina sababu itakosa mapato kwa zaidi ya 30%

PicsArt_02-02-06.14.11.jpg

FJ4EIIBXsAUzkMh.jpeg
 
Ni kama kwenda kuomba upigwe mkofi na polisi.....
Dar port imechelewa sana na inazidi kuchwa kwa mbali.
 
Nauliza tu swali maanake nimeona vita humu watu wakijibizana sana. Hivi kati ya hizi Port mbili gani inahandle cargo nyingi zaidi?
Its Mombasa. We are working hard to close the gap! We will get there eventually.
 
Anzeni mapema kutafuta mahali mtalipia mkopo wa kipevu oil terminal sababu miaka mitatu mbele itakosa mteja mganda anajenga Refinery ya mafuta yake na sehemu ya DRC

Mombasa itapigwa mnada na mchina sababu itakosa mapato kwa zaidi ya 30%

View attachment 2107104

View attachment 2107105
Hivyo ndio mmezoea kujitetea tu mkikosa la kusema. Mambo ya mnada sahau..na hata ikipigwa mnada ina maana hiyo bandari itaingizwa kwa meli ipelekwe China? We mwenyewe wadharau Wachina lakini jina lako lakaa kichina.

Dar iko nyuma ya Msa sana...
Mombasa is among the top 5 ports in Africa.
 
Huwa nawaambia siku zote kwamba Mombasa port ni top 5 biggest port in Africa na akina Geza Ulole na coodip1 wanajifanya viziwi.
 
Back
Top Bottom