Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

@kiduku lilo hawezi nunua izo taka taka za Mjapani yeye gari zake ni za mwingereza na mmarekani Minyama kama Ford Ranger, GMC, Chevrolet, Land rovers, Rolly Royce
 
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prado haiwezi kuwa sawa na V8. V8 ni gari ya kazi haswa usibabaike na Prado hata iwe toleo la jana. Kelele za turbo Prado Tx yenye 1kd au 1Gd Wajapan wameweka mbwembe tu hiyo ni Light Duty Vehicle au gari nyanya.

Chukua Mnyama Land Cruiser V8 ukishindwa chukua hata Amazon au Lexus Cygnus.
 
@kiduku lilo hawezi nunua izo taka taka za Mjapani yeye gari zake ni za mwingereza na mmarekani Minyama kama Ford Ranger, GMC, Chevrolet, Land rovers, Rolly Royce

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lini hiyo we si anasemaga hana izo takataka ???


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahah yule chenga tu aliweka hio thread kipindi hicho alikua hajaanza kujimwambafy akasema gari inagonga chini ni grande mark 2 na yeye anaishi tabata anatafuta fundi wa pande hizo.

Baadae akajisahau akaanza kujimwambafy wadau wakafufua kaburi akajifanya ku-edit uzi ikawa too late,hahah.

Cheki kwny thread alizozianzisha hio thread utaikuta mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unajua tungekuwa tunaweka na picha wazione gari wataelewa unajua nilichogundua watu wengi hawajui vx v8 ni ipi, waambie ile gari anayotembelea magufuli ndio hiyo sasa alafu waambie ndio zile nyeusi zinakuwaga zipo sambamba na gari ya mkuu, utafananisha na prado ? Tuwe wakweli ? watu basi wafanye hata research aisee wakaangalie bei alafu watajua tunasema nini, wanadhani vx v8 ni mchezo mchezo hata range zingine hazigusi price mzee...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…