Nini shida ya Ractis mkuu?IST kama anataka akae nalo miaka yote. Ila kama ataendesha miaka 1-2 kisha anataka kuuza atauza kwa hasara sana.
Premio kama atauza hivi karibuni (labda ndani ya miaka 3). Premio resale value yake ipo vile vile.
Hiyo Ractis sijui ata kwanini ameifikiria.
Ila gari zote nzuri, spare zinapatikana kwa urahisi, mafundi ata chini ya mwembe wapo, kwa ufupi operations and maintenance ni cheaper.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Kabisa mkuu. Sijawahi kumuelewa mtu anakuambia Mercedes Benz.IST
Usiwasikilize wajeruman wa JF
Sometime huwa nashindwa kuelewa!Kama kawaida yetu watanzania.
Wewe unataka kuoa mke Kisha unataka watu wakuchagulie mke utaishi nae kweli au akisumbua kidogo unaanza unaona mke mlionipa?
Rule of thumb, chukua chaguo lako. Ractis na IST ni kitu kimoja body morphology tu ndio utofauti. Lakini Ractis Ina nafasi kubwa zaidi ndani kuliko IST. Changamoto kubwa Ractis ipo Chini Sana kuliko IST kwa hiyo Kama unakaa sehemu yenye off road IST is the best.
Mafuta hizo gari mbili is best of all variants ulizotaja.
Premio ni gari nzuri na body IPO poa na inadumu kuliko hizo IST na Ractis hasa katika mazingira magumu. Spare gharama zake zipo sawa tu IST/Ractis utofauti mkubwa ni utumiaji mafuta.
Sasa amua mwenyewe unataka Nini.
Kama ni mwanamke mwenye makalio au sura nzuri au mguu wa chupa vigezo unavyo wewe Wala sio sisi
Uzito wa gari na aerodynamics unatofautiana.Sometime huwa nashindwa kuelewa!
Let consider this.
IST, RACTIS, PREMIOR zikiwa zote ni 1490 cc.
Inamaana fuel consumption zitakuwa Zote sawa ila tofaut hapo ni Comfortability tuh.
Premior is the best ikifuatiw na Ist but Ractis siyo nzuri sana Bcoz Stability yake ipo low ikishafika speed 120km/hr
hahahaa daaah we jamaaPremio: Luxury, comfortability, fair fuel consumption
Ist: Best fuel consumption, not luxury, fair comfortability
Ractis: Takataka
Katika hizo zote Ractis ndio best kwenye fuel consumption,na hata uwezo pia kwa sababu gearbox ya Ractis ni cvt, gear box ya Ractis ni kubwa kuliko hizo gari mbiliSometime huwa nashindwa kuelewa!
Let consider this.
IST, RACTIS, PREMIOR zikiwa zote ni 1490 cc.
Inamaana fuel consumption zitakuwa Zote sawa ila tofaut hapo ni Comfortability tuh.
Premior is the best ikifuatiw na Ist but Ractis siyo nzuri sana Bcoz Stability yake ipo low ikishafika speed 120km/hr
Hao ndio waliokariri hiyo anayoiita takataka hizo zingine haziigusi kabisahahahaa daaah we jamaa