G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Ni kweli Chama amewaka kiasi na kulikuwa na ugomvi na kocha wake huko nyuma, sasa swali ni je, ni nani amenyanyua mkono na kufata mfumo wa mwenzake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chenga na sio kochaTriple c kajaa kwenye mfumo wa mwamba
Kwa hiyo kwa sasa siyo slow?Na huo mfumo alonao sasahivi ndio mfumo wa mpira na sio kucheza kama Goigoi.
Unaelewa vzri tunacho manisha make ugomvi wa Chama na kocha uliusikiaHata mifumo hatuhijui tunazungumza tusichokijua.
1. JIFUNZE kwenye mpira Kuna kitu KINAITWA Team work.
2: mifumo ya mpira ni 4:4:2, 4:2:3:1
3:5:1:1 Nk
Hizi Falsafa mara nyingi hutegemea na wachezaji.
KOCHA mpya anapoenda kwenye timu hatengenezi falsafa yake Bali anaangalia wachezaji waliopo ndipo aje na falsafa.
Unaposema mifumo mifumo Mimi nashindwa kuelewa!!!!!!?!
Siyo kwamba kocha ndo kakubali yaishewamekutana katikati, kuna namna chama kabadilika kidogo lakini bado kuna mambo kocha kakubali aendelee nayo, kwahyo kamshape acheze kwa uwezo wake akini more direct hasa muda wa shambulizi.
Unaelewa vzri tunacho manisha make ugomvi wa Chama na kocha uliusikia
Nijifunze kuandika nini? Kipi nilichokosea kuandika?Jifunze kwanza kuandika vizuri.
Chama hajawahi kuwa na tofauti na KOCHA.
Kwani mchezaji akitolewa uwanjani ndio anatofauti na kocha au kutolewa uwanjani ni Ugomvi????????
Msijivue nguo kupitiliza