Kumbuka ndio anaepatikana zaidi huko dunianiUkiangalia recommendations nyingi za afya salmon anaonekana kupendekezwa Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada nzuri sana. Ni wakati wa taasisi zetu kuamka na kufanya utafiti wa vyakula ili kuleta mrejesho kwa taifa kwenye chakula na lishe. Hi ni kwa afya ya wananchi itasaidia kuboresha afya ya mwili