Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

Joined
Sep 24, 2024
Posts
11
Reaction score
17
Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
 
Haya maneno yanatumika interchangeably
kwenye uzuri upo tuu pale ambapo utapata kazi na kupata mshahara mzuri wa 2M
 
Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
Bachelor of Science in IT unasoma mambo mengine ya Science yanayo
relate na IT ila unasoma na IT kwa kiasi chake. BSc IT inakufanya uweze
Kufikiri zaidi na pia kufanya tafiti. Mara nyingi inatolewa vyuo
Vikuu.
Bachelor degree in IT hii unasoma IT in deep unaweza kuwa fundi
mzuri ni more practically inatolewa vyuo vya kati zaidi- non Universities
 
Huo mshahara wa milion 2 unautoa wapi
Wewe unakuwa unatengeneza mifumo unashindwa kudukua na kuongeza hela kidogo ya michepuko
Alafu kama ni huku serekalini tunaishi kwa wizi na akili kumkichwa
Ubarikiwe mtumishi jumapili njema
 
Bachelor of Science in IT unasoma mambo mengine ya Science yanayo
relate na IT ila unasoma na IT kwa kiasi chake. BSc IT inakufanya uweze
Kufikiri zaidi na pia kufanya tafiti. Mara nyingi inatolewa vyuo
Vikuu.
Bachelor degree in IT hii unasoma IT in deep unaweza kuwa fundi
mzuri ni more practically inatolewa vyuo vya kati zaidi- non Universities
Sasa hapo ww ipi ni nzuri zaidi bachelor of science in IT or bachelor of IT
 
Wewe unakuwa unatengeneza mifumo unashindwa kudukua na kuongeza hela kidogo ya michepuko
Alafu kama ni huku serekalini tunaishi kwa wizi na akili kumkichwa
Ubarikiwe mtumishi jumapili njema
Ila wafanya kazi wa serikali huwa mnawaza kuiba tu mda wote
 
Wewe unakuwa unatengeneza mifumo unashindwa kudukua na kuongeza hela kidogo ya michepuko
Alafu kama ni huku serekalini tunaishi kwa wizi na akili kumkichwa
Ubarikiwe mtumishi jumapili njema
Nmecheka sana Kwa kwel Kwa IT wetu
 
Back
Top Bottom