Kati ya shida pesa ni kipi kinamaliza mwenzake

Kati ya shida pesa ni kipi kinamaliza mwenzake

Wajumbe mko aje eti kati ya hawa miamba wawili ,nani anamsigina mwenzie Pesa ndiyo inamaliza shida au shida ndiyo inamaliza pesa.Toa facts
 
Wajumbe mko aje eti kati ya hawa miamba wawili ,nani anamsigina mwenzie Pesa ndiyo inamaliza shida au shida ndiyo inamaliza pesa.Toa facts
shida ndo inakukula make hat ukiwa na money vp bad shida ndo kusay
 
Sio mara zote pesa itamaliza shida. Kuna shida nyingine hazitatuliwi na pesa.
Pia, sio mara zote shida zitamaliza pesa. Kuna baadhi ya shida hazihitaji matumizi ya pesa.

Kila mmoja ana nafasi ya kummaliza mwenzake.
 
Back
Top Bottom