Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam Big thinkers
Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK
Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali.
1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black.
2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo zao hadi katika jezi.
Je, siku hawa wadhamini wanaoteswa kubadilisha brand zao ili kuendana na huu utani wa jadi wakiamua kuwithdraw Sponsorship zao nani ataathirika. Katika hizi timu mbili.
Mwenye kujua umuhimu wa Branding aje kutupa somo je, Hii kitu huwa inafanyika pia kwenye mataifa ya wenzetu?
Nawasilisha.