Ujinga mkubwa unaokuwepo kwenye vichwa vya mashabiki ni kuhusisha rangi na timu. Ni kama vile timu fulani inamiliki rangi fulani. Rangi zipo tu na timu zipo tu. Rangi zilitangulia kuwepo ndipo zikaja timu. Mbona vyakula vyenye rangi hizo vinaliwa tu?Salaam Big thinkers
Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK
View attachment 3117522
Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali.
1.. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black.
2.GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo zao hadi katika jezi.
Je, siku hawa wadhamini wanaoteswa kubadilisha brand zao ili kuendana na huu utani wa jadi wakiamua kuwithdraw Sponsorship zao nani ataathirika. Katika hizi timu mbili.
Mwenye kujua umuhimu wa Branding aje kutupa somo je, Hii kitu huwa inafanyika pia kwenye mataifa ya wenzetu ?
Nawasilisha.
Ahsante sana Kaka umeeleza vema kabisa, kuna kitu umenifungua haswa kwenye brand inayotamkila sana, na wakati nasoma majibu yako kuna kitu kimekuja kichwani, kumbe ndio maana Pepsi inatamkika sana na ndio maana inauza sana kuliko Coca-Cola....CRDB wametaka kusikiliza zaidi kutoka kwa mteja wao ili kukamilisha lengo la kukamata soko husika(hii inafanywa sana na marketers wakorofi na wenye kiu ya kutimiza malengo.
But Trust Me CRDB wanaenda kufaidia zaidi katika hili maana wao watasemwa zaidi katika vinywa na watafikia ile hadhira wanayoitafuta.
Marketing ya bidhaa yoyote ile iliyobora na yenye ushawishi kwa wateja niile inayosikikia kuliko kutazamika.(pictorial advertisement).
CRDB itasemwa zaidi na mashabiki wa timu husika na zaidi ya hao na mvuto wake utakuwa mkubwa.
Ndo maana uwekezaji wa matangazo mengi ya kupitia redio kwa makampuni mengi makubwa uko juu sana na unamatokeo chanya.
Sure Pepsi inasemwa mno kuliko Coca-Cola kuna muda hadi nawaonea huruma marketers wa Coca-Cola Tz.Ahsante sana Kaka umeeleza vema kabisa, kuna kitu umenifungua haswa kwenye brand inayotamkila sana, na wakati nasoma majibu yako kuna kitu kimekuja kichwani, kumbe ndio maana Pepsi inatamkika sana na ndio maana inauza sana kuliko Coca-Cola....
Ahsante kwa kujibu vema, nimekuelewa bossmaswali yako hayana hoja jiulize kwanza kati ya Simba na CRDB nani alianza kuwepo kabla ya mwenzie,Kati ya Simba na CRDB nani aliyemfata mwenzie na pia kabla ya CRDB kabla ya kuja simba hio timu ya Simba ilikuwa inaishije bila uwepo wa CRDB miaka mitano iliyopita..sasa pana haja gani ww kuuliza eti hao wadhamini wakijiondoa ni upande upi utaathirika.!
Ligi ya hovyo sana.Salaam Big thinkers
Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK
View attachment 3117522
Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali.
1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black.
2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo zao hadi katika jezi.
Je, siku hawa wadhamini wanaoteswa kubadilisha brand zao ili kuendana na huu utani wa jadi wakiamua kuwithdraw Sponsorship zao nani ataathirika. Katika hizi timu mbili.
Mwenye kujua umuhimu wa Branding aje kutupa somo je, Hii kitu huwa inafanyika pia kwenye mataifa ya wenzetu?
Nawasilisha.
GSM anaingia kama nani katika mkataba huu?1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black.
2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo zao hadi katika jezi.
Ungeficha ujinga wako ingependeza sanaAnafaidika Mudi mapilau maana mkwanja wote wa udhamini anakwapua
Mpaka yanga wakaitwa mbogambogaUjinga mkubwa unaokuwepo kwenye vichwa vya mashabiki ni kuhusisha rangi na timu. Ni kama vile timu fulani inamiliki rangi fulani. Rangi zipo tu na timu zipo tu. Rangi zilitangulia kuwepo ndipo zikaja timu. Mbona vyakula vyenye rangi hizo vinaliwa tu?
Unajua kuwa manyoya ya simba mnyama yanaelekea kwenye unjano njano?Mpaka yanga wakaitwa mbogamboga
Biashara ni watu inatakiwa waambiwe unafanya nini.CRDB wametaka kusikiliza zaidi kutoka kwa mteja wao ili kukamilisha lengo la kukamata soko husika(hii inafanywa sana na marketers wakorofi na wenye kiu ya kutimiza malengo.