B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Oct 12, 2024 #21 Nanren said: Unajua kuwa manyoya ya simba mnyama yanaelekea kwenye unjano njano? Click to expand... Hivi mlikuwa mnajua kwamba simba dume akishindwa kutimiza majukumu yake ya msingi hufukuzwa, ambayo ni kuchimba mgodi na kulinda boma
Nanren said: Unajua kuwa manyoya ya simba mnyama yanaelekea kwenye unjano njano? Click to expand... Hivi mlikuwa mnajua kwamba simba dume akishindwa kutimiza majukumu yake ya msingi hufukuzwa, ambayo ni kuchimba mgodi na kulinda boma
K Kida ze great JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 242 Reaction score 288 Oct 12, 2024 #22 ZVI ZAMIR said: Sure Pepsi inasemwa mno kuliko Coca-Cola kuna muda hadi nawaonea huruma marketers wa Coca-Cola Tz. Click to expand... Inategemea na sehemu, ukienda mikoa mingine coca cola ndio inauzika kwa wingi na ukiulizia pepsi ukakosa maana huko haina wateja same to pepsi
ZVI ZAMIR said: Sure Pepsi inasemwa mno kuliko Coca-Cola kuna muda hadi nawaonea huruma marketers wa Coca-Cola Tz. Click to expand... Inategemea na sehemu, ukienda mikoa mingine coca cola ndio inauzika kwa wingi na ukiulizia pepsi ukakosa maana huko haina wateja same to pepsi
ZVI ZAMIR JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 921 Reaction score 2,163 Oct 12, 2024 #23 Mkoa gani wanakofanya vizuri.? Kida ze great said: Inategemea na sehemu, ukienda mikoa mingine coca cola ndio inauzika kwa wingi na ukiulizia pepsi ukakosa maana huko haina wateja same to pepsi Click to expand...
Mkoa gani wanakofanya vizuri.? Kida ze great said: Inategemea na sehemu, ukienda mikoa mingine coca cola ndio inauzika kwa wingi na ukiulizia pepsi ukakosa maana huko haina wateja same to pepsi Click to expand...