Kati ya Simbu na Diamond, nani alistahili kukabidhiwa Bendera ya Taifa?

K M S

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
524
Reaction score
424
Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka kinyonge kwenda india na kurudi shujaa na leo namwona Nape akimpongeza, nachojiuliza nani haswa alistahili kukabidhiwa benera ya Taifa
 
wewe mkuu.. ulistahili kukabidhiwa wewe.
 
Labda Nape anauzimikia zaidi muziki wa chibu kuliko simbu!!..
 
Wote walienda kuliwakilisha taifa ughaibuni, so wote walistahili kupewa bendera zikaonekane. Vyote ni vipaji kutoka Tanzania. Kwani si uliona hata Shakira alivyotumbuiza Afrika kusini kwenye kombe la dunia alipeperusha bendera ya nchi yake?
 
Mtanzania yeyote yule anastahili, ni bendera ya nchi sio ya mtu moja.
 
Reactions: MTK
Wakuu naomba mwenye namba ya simu ya Diamond anisaidie sana tafadhari!
 
Naona hii maada ifungwe coz ,jamaa kaisha wajilisha taifa tayr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…