Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Man you have no justification for such language, ni mada rahisi you dont have to personify it in any way! Be civil if you cant be sober!
Tanzania ni nchi huru mkuu, kosa ni kutukan tu,na mimi sijatukana.
Sijaelewa utaratibu wa bendera. Mtanzania hutakiwi kushika bendera mpaka ukabidhiwe?Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka kinyonge kwenda india na kurudi shujaa na leo namwona Nape akimpongeza, nachojiuliza nani haswa alistahili kukabidhiwa benera ya Taifa
Wewe ndio inabidi ukabidhiwe.Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka kinyonge kwenda india na kurudi shujaa na leo namwona Nape akimpongeza, nachojiuliza nani haswa alistahili kukabidhiwa benera ya Taifa
Inamaana kampa bendera domo yeye ni timu'domo'? Yaani utawala wa awamu hii ni full comedian. Naunga mkono aliyosema Ridhiwani.Nape alishasema wale wote wanaompinga ni team kib
Mi naenda DRC kutafuta kichwa cha babake, nahitaji bendera.Me naenda Uganda kuchukua demu naomba bendera [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni bora ungeliacha kujibu kuliko ulivyomjibuwewe mkuu.. ulistahili kukabidhiwa wewe.
Acha ulofa ..Ni bora ungeliacha kujibu kuliko ulivyomjibu
Ila kiukweli aliestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa ni huyo mwanariadha na sio Diamond simbu kenda iwakilisha nchi kwenye mashindano nje ya bara la Africa na kimataifa na Diamond kenda washerehesha wachezaji
Hapo ni mapenzi ya mtu na mtu ndicho kilichofanyika