Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

DLS

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
246
Reaction score
152
Hii ni kwa wale wapenzi wa muziki mzuri, hawa wote wanafanya Vizuri.
Wizkid nyimbo zake(na alizoshirikishwa kama, sound it, ojuelegba, NOWO)
Davido pia unaskia kwenye FIA, FALL, IF, na nyingine nyingi.

Kwa mawazo yako who do u think is better!???
Now lets do this.
 
Hahaha mnazinguaa
 
Zaidi hapo ni Wizkid,Davido anajitahidi sana kwenda na midundo ya dogo yuko vizuri Wizkid
 
Jamaa alijiita WizKid kwasababu ya Wiz Khalifa, lakini ukimuuliza leo atakataa.
 
Davido ivii anaimba kiingereza kweli jaman....daaa huwa simwelewi kwa baadhi ya nyimbo kabisa mfano"ema dami duro ,emi olo baba lowo" moja kati ya verse zake kwenye nyimbo yake moja iviii
 
Davido ivii anaimba kiingereza kweli jaman....daaa huwa simwelewi kwa baadhi ya nyimbo kabisa mfano"ema dami duro ,emi olo baba lowo" moja kati ya verse zake kwenye nyimbo yake moja iviii
Anaimba kilugha chao+kingereza cha kinaijeria[emoji1]
 
Back
Top Bottom