Diamond
Juma Nature
Awilo masoksi.
Nafikiri Diamond ni zaidi!
Siyo kila kitu masihara huo ni ujinga wa makusudi kuharibu uzi wa mtuItakua PNC
Anaimba kilugha chao+kingereza cha kinaijeria[emoji1]Davido ivii anaimba kiingereza kweli jaman....daaa huwa simwelewi kwa baadhi ya nyimbo kabisa mfano"ema dami duro ,emi olo baba lowo" moja kati ya verse zake kwenye nyimbo yake moja iviii