Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

Davido ivii anaimba kiingereza kweli jaman....daaa huwa simwelewi kwa baadhi ya nyimbo kabisa mfano"ema dami duro ,emi olo baba lowo" moja kati ya verse zake kwenye nyimbo yake moja iviii
Kama umesoma engilish varities huwez kumshangaa.
 
Nahis wizkid ni mtu mbaya sana japo davido naye ni shiida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…