KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

ili tuone ubora wake kwanza tuangalie mchango wa wasomi ktk tanzania wamefanya kipi cha maana!
wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
 
Sasa hivi vyote vimechakachuliwa vimekuwa vyuo vya kata, zamani ilikuwa UDSM, SUA na MZUMBE, in brief sasa hivi kila kitu kiko ovyo kabisa, hata Mapofesa wenyewe wamekua ka bidhaa ya kichina
 
Upande wakulinganisha chuo ni kosa mzaz kwasababu kila chuo kina ustarabu wake na hakuna kigezo cha ubora wa chuo kwa mana hiyo kila uchuo utakachosoma kunakitu cha pekee ambacho mtu wa chuo kingine hana pia nae anacho kingine ambacho wewe huna na kila kimoja kinamanufaa kwa alienacho
 
wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin

wakuu! Hii sasa is too much, maswali mengine muwemnawauliza akina "vick kamata" au yule madam wa cuf a.k.a my daily bread.
 
"....za kuambiwa changanya na zakwako"
 
Mimi co mpumbavu wapumbavu ni nyie mnaona thread msioipenda alaf bado mnachangia acheni ukuda kama ni kutukana patawaka!
 
changieni hoja acheni lugha chafu km huna jibu hakuna sababu ya kuchangia dogo hana kosa ameuliza swali sahii,ndio maana vyuo vinapangwa kwa ubora africa na duniani kwa nini isiwe tanzania,mwenye data ajibu swali asiye na data aache
 
Nilisoma chuo kidogo sana hapa tz ila ktk interview kazi ya muda un nikapata ila baadhi ya madenti toka udsm ifm mzumbe nk nikawamwaga so chuo bora ni kichwa yko tu na si vinginevyo
 
 
=Leonard Robert;4289892]chuo bora sikijua,ila chuo kibovu nakijua nacho ni UDOM[/QUOTE]

reason?
 
 
naona unanifuatilia natangaza vita dhidi yako,mpigamsuli v/s makamuzi na nitakushitak kwny jukwaa husika upigwe ban ala
 
Pitz mim sio zoba kama unataka kutofautiana na mim sema 2 kama mwenzio makamuzi alaa unataka niweke k2 unachopenda wewe
 
nilichofanya nikuwatahadharisha wewe makamuzi na pitz
 
shemgunga ,bora ukae kimya vinginevyo tutamaliza vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…