Kati ya Sumbawanga na Singida Mji upi unafaa zaidi kiutafutaji na Kuishi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Natumai wote ni wazima na mnachukua hatua za kujihami na corona virus

Moja kwa moja kwenye mada, tusaidiane nataka kufanya maamuzi ya kuweka makazi ya kudumu kwenye moja ya miji tajwa hapo juu sasa ni mji gani unafaa zaidi kwenye nyanja tajwa bila kupuuzia other factors?

Sumbawanga nimeambiwa kuna plenty of food na kilimo ni uhakika pia inapakana na DRC kwahiyo biashara ipo na kuna mzunguko wa pesa na wakazi ni wakarimu japo kuna tishio la ulozi wa radi.

Singida nimeambiwa kumechangamka kibiashara kwa kuwa ni junction ya barabara kuu na jirani na mji mkuu wa serikali Dodoma.

Maeneo yote nayapenda maana nimewahi kuishi kipindi nasoma kwa nyakati na muda tofauti. Hali ya sasa ikoje na future ya miji husika inasomekaje?

karibuni kwa tips
 
siamini kama vigezo ulivyotoa vinaweza kukusaidia kufanya informed decision. kwa mfano sumbawanga kuna ardhi ya kutosha. lakini kwa kiasi kikubwa imechoka. Halafu sumbawanga wana msimu mmoja wa mvua kwa hiyo, when you think of farming in sumbawanga, you need also to think on how you will be able to tap water. asikudanganye mtu, kilimo cha kutegemea mvua ni kilimo cha ujima.
 
Kila MTU anakaa mkoa Fulani kwa madhumuni tofauti tofauti,wengine sababu ya kazi, wengine biashara,wengine wanapenda kuwa karibu na makwao,wengine wanapendezewa na uoto wa eneo.

Huishi sehemu tu kwa kuwa unaishi,lazima ujue lengo LA kuishi eneo husika.
 
Kwann usiende kote kusoma mazingira kwanza kuliko kusikiliza stor
N i vizuri lakii naamini kuna wenye uzoefu zaidi hata nikienda itanilazimu niishi angalau wiki ili nione hali halisi lakini siwezi pata picha yote but kwa wanaoishi hayo maeneo watanisaidia kupata uzoefu maana muamba ngoma huvutia kwake ko nitapata picha halisi
 
Kila MTU anakaa mkoa Fulani kwa madhumuni tofauti tofauti,wengine sababu ya kazi, wengine biashara,wengine wanapenda kuwa karibu na makwao,wengine wanapendezewa na uoto wa eneo.

Huishi sehemu tu kwa kuwa unaishi,lazima ujue lengo LA kuishi eneo husika.
Nimeshatoa sababau za msingi hapo juu ila hayo maeneo mawili ndo nimeyapenda nataka kuishi kwenye mji mmjawapo hapo juu
 
siamini kama vigezo ulivyotoa vinaweza kukusaidia kufanya informed decision. kwa mfano sumbawanga kuna ardhi ya kutosha. lakini kwa kiasi kikubwa imechoka. Halafu sumbawanga wana msimu mmoja wa mvua kwa hiyo, when you think of farming in sumbawanga, you need also to think on how you will be able to tap water. asikudanganye mtu, kilimo cha kutegemea mvua ni kilimo cha ujima.
Thanks kwa maoni yako
 
Moja kati ya nyuzi zako umekua ukiisifia njombe.nilikua nataka tu kujua kwanini unaihama njombe au kwanini katika hiyo mikoa miwili uliyoitaja njombe isiwepo?
 
Njombe ni kwa wazazi wangu yaani ubibini/ubabuni sijazaliwa huko wala kukulia huko ila haiondoi uhalisia wa sifa kuhusu Njombe.Binafsi napenda kuishi sehemu yenye moderate climate kama Songwe,Sumbawanga,Singida ila sio maeneo ya baridi sana au joto sana
Mkuu toa ushauri kuhusu mada yangu
 
Unaendaje kukaa mwisho wa dunia huko

Mi mtoto born n raised dsm skuelewi ujue.
Kuishi Dar labda maisha yanichagulie vinginevyo sipapendi kwa joto na uchafu na uwingi wa watu..Nimekaa huko miaka 4 kuanzia 2012-2016 saizi nikija ni kwenye shughuli maalum
 
Natumai wote ni wazima na mnachukua hatua za kujihami na corona virus

Moja kwa moja kwenye mada, tusaidiane nataka kufanya maamuzi ya kuweka makazi ya kudumu kwenye moja ya miji tajwa hapo juu sasa ni mji gani unafaa zaidi kwenye nyanja tajwa bila kupuuzia other factors?

Sumbawanga nimeambiwa kuna plenty of food na kilimo ni uhakika pia inapakana na DRC kwahiyo biashara ipo na kuna mzunguko wa pesa na wakazi ni wakarimu japo kuna tishio la ulozi wa radi.

Singida nimeambiwa kumechangamka kibiashara kwa kuwa ni junction ya barabara kuu na jirani na mji mkuu wa serikali Dodoma.

Maeneo yote nayapenda maana nimewahi kuishi kipindi nasoma kwa nyakati na muda tofauti. Hali ya sasa ikoje na future ya miji husika inasomekaje?

karibuni kwa tips
Nenda Swanga Bob

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utalima hata huko, majimoto, mbede ......aaaah haloo nenda sumbawanga utalimia hata kwa jirani huko. Swax kuna uhakika wa mambo mengi, hutakosa mahitaji ya msingi yaani chakula malazi na makazi...utavipaa si kwa jasho kubwa sana km huko kwngine
 
singida ela iko mkuu kuna mzunguko mkubwa wa hela kuliko sumbawanga hasa upande wa kilimo
singida *walimaji wazuri wq nyanya masika na kiangazi kuna chemchem isiyo kauka
*walimaji wazur wa vitunguu muda wote masika na kiangz
*na mazao mengine meng
sumbawanga
* walimaj wazur wa mahind
*hata mboga mboga ila kiangz chemchem sio za kuaminika
 
siamini kama vigezo ulivyotoa vinaweza kukusaidia kufanya informed decision. kwa mfano sumbawanga kuna ardhi ya kutosha. lakini kwa kiasi kikubwa imechoka. Halafu sumbawanga wana msimu mmoja wa mvua kwa hiyo, when you think of farming in sumbawanga, you need also to think on how you will be able to tap water. asikudanganye mtu, kilimo cha kutegemea mvua ni kilimo cha ujima.
Rukwa ni Mkoa mmojawapo Tz mvua haijawahi kusumbu hii inatokana na kuwa karibu na misitu ya Congo, Mpanda, na Tabora vilevile kuna Maziwa 2 Tanganyika na Rukwa yansababisha mvua kunyesha kwa wingi, Mwaka Jana mikoa mingi ya Kanda ya Ziwa na Kati ililishwa chakula kutoka Rukwa, tatizo la Rukwa ni uvivu wa wenyeji na roho mbaya zao hawapendi kufanya kazi ngumu, nashukuru Wasukuma wamewanyoosha maana ardhi nzuri wameitwaa
 
Wasukuma wengi wapo mpanda,Katavi.
Hiyo ya wenyeji kuwa na roho mbaya imekaaje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom