Kati ya Suzuki Escudo na Toyota RAV4 old model gari ipi inafaa katika mazingira magumu?

Namba B cha mtoto, ninaifahamu moja namba Tzc ya mwaka 1991, Mara ya mwisho ilisimama mwaka 2010 sio kwa ubovu , Bali jamaa aliichoka , kaiacha imeozea hapo.

Sent
Nivulie hyooo
 
Nimeivua kwa mchaga mmoja hiv dsm, ingine iko safi kabisa, tumepiga gia wenyewe toka dar mpk njombe na imekubali, service tulichange oil na filter tu.
Ila body lake limechoka Sana itabidi nivalishe body jipya tu. Maana inaingiza vumbi tukiwa barabara za vumbi.
 
Umetisha mkuu. Sitii neno.
 
Wamakonde tumetengwa kwenye umiliki wa magari nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…