Kati ya tairi za mbele na nyuma zipi kipaumbele

Kati ya tairi za mbele na nyuma zipi kipaumbele

Zote ni muhimu na ni lazima!

Msipende kumrahisishia israili kazi

Inatakiwa israil aizungukie roho yako kwa tabu kama unavyomzungukia mtoto wa geti kali
 
wadau nimenunua tairi mbili,kutokana na mfuko wangu,gari yangu ni noah,haiko bize sana,kati ya tairi mbili za mbele au za nyuma,nibadilishe zipi kwanza kwa sasa?na kwa nini
wanaosema mbele ni kwa sababu ya stability
wanaosema nyuma ni kwa sababu wanaamini matairi mbele yanawahi kuisha sababu ya kona, na kwakua ndo yanaburuza gari (2wd) kwa hiyo ukiyaweka mbele yanaweza yakaisha muda sawa na ya nyuma ila ukiweka nyuma na yale ya nyuma ukayapeleka mbele basi ya zamani yatawahi kuisha afalu utakapata nafasi ya kununua mawili tena na kuyafunga kwa kwa taratibu ileile
 
wadau nimenunua tairi mbili,kutokana na mfuko wangu,gari yangu ni noah,haiko bize sana,kati ya tairi mbili za mbele au za nyuma,nibadilishe zipi kwanza kwa sasa?na kwa nini
REKEBISHA kauli.. Noah ni Usafiri tu haujafikia kwenye gari (joke). Mbele 40 nyuma 35
 
Back
Top Bottom