Kati ya TANESCO, UDART, DAWASA wapi pana changamoto zaidi kwa Dar?

Kati ya TANESCO, UDART, DAWASA wapi pana changamoto zaidi kwa Dar?

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
5,818
Reaction score
5,555
Yaani hizi taasisi zinatoa huduma muhimu sana lakini huduma zao ni duni sana.

Kati ya Taasisi hizi tatu, ipi ni ya hovyo zaidi?
 
Zote ni hovyo.kwa tz hakuna taasisi hata Moja ambayo inafanya kazi Kwa weledi kuanzia Taasisi ya urais Hadi Kwa mjumbe.zote ni hovyo.
 
na mimi unasemaje hapa
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Kote shida ila UDART wana uzembe uluopitiliza. Maana wao miundombinu ipo tayari, shida ni uamuzi tu wa kuongeza magari, kitu ambacho wangeweza fanya kwa dakika chache tu.
 
ninapoishi hakuna tatizo la maji wala umeme na pia hakuna njia ya mwendokasi lakini cha moto ninakiona ninapohitaji kutumia usafiri huo.
Kama unatumia UDART maana yake wewe ni mkazi wa maeneo ya Kimara, Mbezi; huko maji ya DAWASA unapata?

Vv
 
UDART wana laana wale.. Hao DAWASA ninapoishi hata hatuwahitaji tena kila mtu na kisima chake, ukiwauliza DAWASA ni nini wengine watakosa jibu.
 
Back
Top Bottom