Kati ya Tax management assistant na Customs assistant wapi kuna maslahi zaidi nje ya mshahara?

Kati ya Tax management assistant na Customs assistant wapi kuna maslahi zaidi nje ya mshahara?

Ndugu yangu kapambane na Interview ndo uje kuuliza mishahara Huku.
Mabaharia Huwa tunatafuta kazi kwanza baada ya kupata ndo tunaangalia maslahi ukiona pesa mbuzi unaamsha
 
Jamani tujikite na kichwa cha habari hapo juu. Wapi kuna maslahi zaidi nje ya mshahara?
Wewe nenda kufanya kazi maslahi yatakja kwa kufanya shughuli zako nje ya utumishi. Kama wewe lengo lako ni maslahi badala ya kutanguliza majukumu yatakayokupa hayo maslahi basi ni bora uache kazi.
 
Kuna mtu ameitwa post zote mbili? Kuna dogo kaomba zote mbili, kapigwa chini moja kaitwa custom sijajua shida ni nini
 
Kuna mtu ameitwa post zote mbili? Kuna dogo kaomba zote mbili, kapigwa chini moja kaitwa custom sijajua shida ni nini
Yes, yupo aliyeitwa zote mbili. Shida zote zimepangiwa muda mmoja wa usaili hivyo anahitaji kuchagua moja.
 
Acha kukariri jomba. Nje ya mshahara kuna masilahi mengi tu halali.

Embu tujuze tujue. Maana kwenye barua/mkataba wa ajira hawataji masilahi ya mtumishi/mfanyakazi nje na mshahara pamoja na stahiki zako zingine (kwa wachache).
 
Embu tujuze tujue. Maana kwenye barua/mkataba wa ajira hawataji masilahi ya mtumishi/mfanyakazi nje na mshahara pamoja na stahiki zako zingine (kwa wachache).
Hizo stahiki ndio zenyewe. Kumbe unauliza wakati jibu unalijua?
 
Back
Top Bottom