Kati ya Toyota Noah hizi, nichukue ipi wakuu?

kwa nini huipendi noah,road tourer old model cc 1990,nipe sababu mkuu,,,kweli kila shetani na mbuyu wake...
Nina sababu basi Mkuu? 🤣

Wasiwasi wangu ni stability... Na pia muonekano wake kama Mkate uliookwa vibaya. Lol.

Ila Noah zinauzika. Sokoni hazipo kama Harrier ama Xtrail. Hazikosi soko hata siku Moja. Spea zipo kwa wingi pia.

Enjoy your ride man. Don't pay attention to me.
 
i think wewe ni timu ,,ist,vitz,starlet,nissan march etc
 
Nataka kununua toyota Noah, 2wd,1990cc, sasa kuna, Field tourer, Road tourer, Super extra limo, Exurb, kwa wazoefu ipi ni nzuri kwa, kula mafuta, kutulia barabarani, muonekano wa board nje na ndani.

Je, spea zinaingiliana?msaada wataalamu.
Kama una noti kaka wewe nunuwa ndinga, hayo ma research mengi yatakupoteza tu, vuta mzigo, enjoy, period..
Halafu sisi wanaume bana! Kwenye gari uchunguzi na umakini wa kufa mtu, wake zetu wala hatuhangaiki kivile, na mie nakubali ni mhanga wa swala hili🤐, boys with their toys hey?! 😇😇😇
 
A machine can be perfect but not a person.
 
sometime ni vizuri kujua kitu unachotaka kununua,hasa cha hela nyingi kidogo,kwa kuuliza kwa watalaam na wazoefu(utafiti mdogo),kuna rafiki yangu mtu wa kuunga unga tu,alinunua gari 2milion,kumbe ni 4000cc,alijuta sana..
 
Nataka kununua toyota Noah, 2wd,1990cc, sasa kuna, Field tourer, Road tourer, Super extra limo, Exurb, kwa wazoefu ipi ni nzuri kwa, kula mafuta, kutulia barabarani, muonekano wa board nje na ndani.

Je, spea zinaingiliana?msaada wataalamu.
Hapo umechanganya models za Noah na miaka ya manufacturing ni tofauti
Hakuna Road tourer 1990
Anyway kwa ushauri wangu na ndio ukweli
Ukitaka Noah yenye consumption nzuri , imara , ni Super extra limo ya gia ndefu
 
sometime ni vizuri kujua kitu unachotaka kununua,hasa cha hela nyingi kidogo,kwa kuuliza kwa watalaam na wazoefu(utafiti mdogo),kuna rafiki yangu mtu wa kuunga unga tu,alinunua gari 2milion,kumbe ni 4000cc,alijuta sana..
Gari gani hio mkuu?
 
Kuna baadhi ya mikoa ukiwa na noah ni dili sana..
Inaingiza pesa nzuri..

Old model nimeona zinavumilia sana shida..

Tatizo ni ile shape inakuwa kama kitimoto..[emoji119][emoji119]
sasa mkuu shida yako ni hela au shape?ila kitimoto mnamuonea sana,mpaka anakonda...
 
Vp nikienda kuiinua , Ni kipi kitapungua ktk Gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…