switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 48
- 186
Shukrani mkuuraum mkuu toyota ractis huwa zinasumbua sana gear box hasa kwenye mfumo wa gia
karibu sana jerry empire tukupatie gari ya ndoto yako kwa gharama nafuu na zenye ubora tupo ilala dar es salaam
0623953036
0659756647
Sent using Jamii Forums mobile app
Ractis,Porte,Passo haya ni Vimeo Ila Kwa muonekano wengi wanaingia mkenge kuyanunua..raum mkuu toyota ractis huwa zinasumbua sana gear box hasa kwenye mfumo wa gia
karibu sana jerry empire tukupatie gari ya ndoto yako kwa gharama nafuu na zenye ubora tupo ilala dar es salaam
0623953036
0659756647
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuuRactis,Porte,Passo haya ni Vimeo Ila Kwa muonekano wengi wanaingia mkenge kuyanunua..
Hata Kwenye kuuza lazima utaabike zaidi ya miezi 6 ndipo ufanye biashara tofauti na mnyama raum hii gari ni zaidi ya Ractis mara 50
Ractis,Porte,Passo haya ni Vimeo Ila Kwa muonekano wengi wanaingia mkenge kuyanunua..
Hata Kwenye kuuza lazima utaabike zaidi ya miezi 6 ndipo ufanye biashara tofauti na mnyama raum hii gari ni zaidi ya Ractis mara 50
Ractis na raum zinatumia engine moja( 1NZ) ingawa kuna Ractis ina matoleo mawili ya engine yaani 1NZ na 2SZ....pia Kwa upande wa body imara Toyota raum iko juu zaidi kuliko Ractis na hata Kwenye spare parts raum iko bei poa zaidi ya Ractis.
Tukija Kwenye upande wa comfortability hasa space ya ndani Ractis ina nafasi ya kutosha kuanzia siti zake za mbele na nyuma Ila kama unataka kumiliki Ractis zaidi ya miaka 5 itakuwa imechoka Sana na utashindwa kuuza Kutokana na body yake tofauti na raum unaweza ukaishi nayo Hadi wajukuu wakaitumia,hivyo angalia mwenyewe moyo wako unapenda nini
Kwa level Yangu namwita mnyama ndugu Yangu
Hapo kwenye body umedanganya mkuu, gari ni matunzo tu na si vinginevyo, na hakuna tofauti ya material ya body Kati ya raum na ractis zote sawa tuRactis na raum zinatumia engine moja( 1NZ) ingawa kuna Ractis ina matoleo mawili ya engine yaani 1NZ na 2SZ....pia Kwa upande wa body imara Toyota raum iko juu zaidi kuliko Ractis na hata Kwenye spare parts raum iko bei poa zaidi ya Ractis.
Tukija Kwenye upande wa comfortability hasa space ya ndani Ractis ina nafasi ya kutosha kuanzia siti zake za mbele na nyuma Ila kama unataka kumiliki Ractis zaidi ya miaka 5 itakuwa imechoka Sana na utashindwa kuuza Kutokana na body yake tofauti na raum unaweza ukaishi nayo Hadi wajukuu wakaitumia,hivyo angalia mwenyewe moyo wako unapenda nini
Matunzo ni kitu cha Kwanza Ila Kwa upande wa body raum ni ngumu na sehemu kubwa ya body yake ni bati gumu tofauti na RactisHapo kwenye body umedanganya mkuu, gari ni matunzo tu na si vinginevyo, na hakuna tofauti ya material ya body Kati ya raum na ractis zote sawa tu
Mkuu unatumia vigezo gani kusema raum ina bati gumu zaidi ya ractis?umepimaje huo ugumu?Matunzo ni kitu cha Kwanza Ila Kwa upande wa body raum ni ngumu na sehemu kubwa ya body yake ni bati gumu tofauti na Ractis