Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran kwa michango yenu lakn naona mmezungumzia sauti kepee ...vp kuhs
.Uimara wa engine
.muonekana(body appearance)
.upatikanaji wa spare na gharama zake
TVs ina sound taamu hivi kama ya Baja yaani fully mzuka... Hero dawn imepooza sauti yake yaani ipo kimya kimya haina fujo sauti yake ipo kama pikipiki ya pursal kama unazijua... Kwahyo chaguo lako wewe hapo... Mimi nishatumia zote na nimeipenda Sana TVs kuliko pursal kwasabab Mimi napenda fujo fujo sanaa nikiwa barabaran
Sent using Jamii Forums mobile app