x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
Habari zenu ndugu wanajamvi….
Usukaji wa umeme wa magari na usukaji umeme wa majumba na viwanda ni vitengo viwili katika fani ya umeme kwa maana nyingine naweza kusema kitengo chochote ambacho mtu atadeal nacho bado atakuwa ana julikana kama mtaalamu wa umeme.
Naamini humu kuna wataalamu na wazoefu waliobobea katika fani mbalimbali kama bahari ilivyo na aina nyingi za samaki,ni matumaini yangu hata katika fani hii ya umeme na vitengo vyake hawawezi kukosekana wataalamu .
Niende kwenye swali ,kati ya vitengo hivi viwili vya umeme nikipiki kinalipa zaidi hususani kwenye sekta ya ajira binafsi? Kwa heshima na taadhima nawasilisha.